Twatukuza Jina Lako lyrics

by

Congress MusicFactory


TWATUKUZA JINA LAKO

[Pambio ya 1]
Twatukuza Jina Lako
Twatukuza Jina Lako
Twakupa Utukufu, heshima
Ibada na sifa
Tukuza jina lako

[Pambio ya 2]
Kwa umoja enzini pako
Twakuinua, twakutukuza
Mungu Mkuu Mfalme
Watawala Milele
Tukuza jina lako

[Pambio ya 1]
Twatukuza Jina Lako
Twatukuza Jina Lako
Twakupa Utukufu, heshima
Ibada na sifa
Tukuza jina lako

[Pambio ya 2]
Kwa Umoja enzini pako
Twakuinua, twakutukuza
Mungu Mkuu Mfalme
Watawala Milele
Tukuza jina lako

[Kumalizia]
Mungu Mkuu na Mfalme
Watawala Milele
Tukuza jina lako

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Copyright © 2012 - 2021 BeeLyrics.Net