Bwana Yupo Hapa (Haleluya) lyrics

by

Congress MusicFactory


BWANA YUPO HAPA (HALELUYA)

[Pambio]
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo hapa

[Pambio]
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo hapa

[Ubeti 1]
Kati ya watu wako u
Uwepo wako dhahiri
Kwa mataifa yote
Enzini watawala

[Pambio]
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo hapa

[Pambio]
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo hapa

[Ubeti wa 2]
Tufanye wenye haki
Tufikishe mwisho
Tuongoze hadi milele
Na Milele tutasemaaaa

[Pambio]
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo hapa

Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo
Bwana yupo
Bwana yupo hapa

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Copyright © 2012 - 2021 BeeLyrics.Net