Why lyrics
by Marioo
[Instrumental Intro]
Cannibal
Kutoka, haloo
(It's Cannibal)
Mh
[Pre-Chorus]
Baby, naomba tujirekodi
(Why)
Ah, kumbukumbu
(Why)
Siku nikiku-miss
(Why)
Ah, naitazama tu
(Naijua hiyo)
[Verse 1]
Haloo, shii
Kuna mwizi aliiba simu yangu
Kashindwa kuiuza, kairudisha ah
Unajua kwanini? Mh-mm
Mi mjanja weh
Kuna kibaka kapora tambo langu
Kashindwa kuliuza kalirudisha
Unajua kwanini? Ah
Nimeweka password
[Hook 1]
Asa unaogopa nini weh?
Unaogopa nini weh
Asa unahofia nini weh?
Unahofia
Baby, you're not comfortable, comfortable, comfortable, comfortable
Why you're not comfortable, comfortable, comfortable, comfortable, ah
[Chorus]
Baby, naomba tujirekodi
(Why)
Ah, kumbukumbu
(Why)
Siku nikiku-miss
(Why)
Ah, naitazama tu
(Naijua hiyo)
Baby, naomba tujirekodi
(Why)
Ah, kumbukumbu
(Why)
Siku nikiku-miss
(Why)
Ah, naitazama tu
(Naijua hiyo)
[Verse 2]
Shii
Si unapendaga TikTok?
(Enhee)
Tupate na [?]
(Enhee)
Mi naona shega, bando poa
Haloo, (I don't like it)
Si unapenda Snapchat?
(Enhee)
Tuchape filter
Mi naona shega, bando poa
Haloo, (I don't like it)
[Hook 2]
Baby, you're not comfortable, comfortable, comfortable, comfortable
Why you're not comfortable, comfortable, comfortable, comfortable, ah
[Chorus]
Baby, naomba tujirekodi
(Why)
Ah, kumbukumbu
(Why)
Siku nikiku-miss
(Why)
Ah, naitazama tu
(Naijua hiyo)
Baby, naomba tujirekodi
(Why)
Ah, kumbukumbu
(Why)
Siku nikiku-miss
(Why)
Ah, naitazama tu
(Naijua hiyo)