Kijiti lyrics

by

Marioo



[Instrumental Intro: Marioo & Dully Sykes]
It's Cannibal
Mh
Mbwooke, di gyals dem killer
Na Cannibal
Kutoka, haloo

[Verse 1: Marioo]
Mwanamke apewe hela nyingi, eh-enhe
Mwanamke apewe matunzo,(Kuhudumia), mwanamke apigwi ngumi jiwe, eh-enhe, mwanamke ana dekezwa
Bebe zinapenda wanaume kama sisi, 'sisi tunapenda wanawake wazuri
Bebe zinapenda wanaume wanukie, 'na sisi raundi hii tunanukia hela

[Pre-Chorus]
I do like woman (Go, Baddy, go), I do like woman (Bri-bang, bang, bang), I do like woman (Go, Baddy, go), I do like woman

[Chorus: Marioo]
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, chai
Washa kijiti, 'kijiti; watoto wanapenda kijiti, 'kijiti, wawashie kijiti, 'kijiti; watoto wanapеnda kijiti, 'kijiti

[Verse 2: Dully Sykes]
Tuko bize kutafuta hela juu, chini, mchana usiku yote kwa sababu ya mapеnzi
Watoto sikuhizi hawapendi stori, hawapendi majigambo, wao wanapambe, wana shoo (Shoo kali)
Bize kutafuta hela juu, chini, mchana usiku yote kwa sababu ya mapenzi
Watoto sikuhizi hawapendi stori, hawapendi majigambo, wao wanapambe, wana shoo, Bri-bang, bang, bang, eh,(Shoo kali)
[Hook: Dully Sykes]
Sunna wa nne, mmoja hanitoshi, nataka wa nne
Mami, I say, sunna wa nne, mmoja hanitoshi, nataka wa nne

[Pre-Chorus: Dully Sykes & Marioo]
I do like woman (Go, Daddy, go), I do like woman (Mbwooke)
(Haloo), I do like woman, (Go, Baddy, go), I do like woman

[Chorus: Marioo]
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, chai
Washa kijiti, 'kijiti; watoto wanapenda kijiti, 'kijiti, wawashie kijiti, 'kijiti; watoto wanapenda kijiti, 'kijiti

[Outro]
I do like woman
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Copyright © 2012 - 2021 BeeLyrics.Net