Sugar Remix lyrics

by

Marioo



[Verse 1 : Jay Melody]
Sweet like a kuku, tamu sana
Sweet like a soup, I'm going to die
Kwenye dimbwi sijiwezi, nimezama
Mi corazon, my baby banana
Penzi hulifichi kama ni sindano, itachoma
Mi siambiliki hata wakaniroge Kigoma

[Pre-Chorus : Jay Melody]
Ukiugusa mwili wangu, nash*tuka moyo paah
Mpenzi wangu nishike nisije nikapaa
Kama mvua na mawingu kama mwezi na anga
Sina jambo kwa jinsi umenikamata

[Chorus : Jay Melody]
Tena usinipege kiduchu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Tena usinipege kiduchu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
Mmmh mmh

[Verse 2 : Marioo]
Nachagua mwenyewe, nitakula ndo nile
Ama nile ndo ntakula
Najisevia manyama manyama, utamu utamu
Ah, naona raha mie unavyonipeleka puta
Mako tinda mako stamina, yaani show show
Mmmh, naona raha mie unavyoishusha kwenye tuta mama
Mako tinda mako stamina, yaani soo soo
Ah, umeniweza, niue kanizike
Aaah, kanizike, umeniweza
[Pre Chorus : Marioo]
Ukiugusa mwili wangu, nash*tuka moyo paah
Baby wangu, nishike nisijе nikapaa

[Chorus : Marioo]
Tena usinipege kiduchu
Sugar sugar sugar
My lifе is nothing without you
Sugar sugar sugar
Tena usinipege kiduchu
Sugar sugar sugar
My life is nothing without you
Sugar sugar sugar
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Copyright © 2012 - 2021 BeeLyrics.Net