Sumu lyrics

by

Marioo



[Intro]
Yeah
Aloooohh
Ababaah
Sounds by Abbah

[Chorus : Alikiba]
Mke wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali
Mume wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali eeh eeh
Eh aah aaaah kuna jela
Noma sana
Aah aaaah kuna jela

[Verse 1 : Marioo]
Sawa unakula bata
Kula bata ila deni langu hunilipi aah uhmm
We unakula raha
Ni nina njaa kale kadeni kangu hunilipi aaah

[Bridge : Marioo]
Aaah aaah kuna kesho
Ujue unaniburuga yeleleee
We si unanivuruga sawa
Ujue unaniconfuse yeleleee
Acha tu nile bati sawa
Sisi sio milima tutakufana
Sisi ni people tutaonana
Si sio visima tutasomana
Tukiwa kama people kitaumana umana
[Chorus : Alikiba]
Mke wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali
Mume wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali eeh eeh
Eh aah aaaah kuna jela
Noma sana
Aah aaaah kuna jela

[Verse 2 : Alikiba]
Mi ninachojua pesa karatasi eeeh
Mi ninachojua...
Mi ninachojua pesa karatasi eeeh
Mi ninachojua pesa karatasi
Mi ninachojua pesa karatasi eeeh
Ni maua
Wale walosema hutoboi leo wako wapi?
Walosema hutoboi leo wako wapi?
Eeh wapite kule, wapite kule kule kule
Wapite kule
Wale walosema hutoboi leo wako wapi?
Walosema hutoboi leo wako wapi?
Eeh wapite kule, wapite kule kule kule
Wapite kule
[Bridge : Alikiba]
Sisi sio milima tutakufana
Sisi ni people tutaonana
Si sio visima tutasomana
Tukiwa kama people kitaumana umana

[Chorus : Alikiba]
Mke wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali
Mume wa mtu tu tu tu tu sumu
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali eeh eeh
Eh aah aaaah kuna jela
Noma sana
Aah aaaah kuna jela
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Copyright © 2012 - 2021 BeeLyrics.Net