King Khali 1 lyrics
by Khaligraph Jones
Verse 1
Hi taji nilipewa before nipate kipande {ieeeh}
King ni mmoja hao wengine maklande{kirirp}
Is not a diss hakuna msee anatoa rangi{uuuuu}
Am back to the king ama izo bare zitambe{parapara}
Hii ndio debate ime cha cha nani ndio king kwa scene ya kenya
Debate ina fanyika twitter