Hatujui lyrics

by

Nandy



[Intro]
Hatujui
Hatujui (Hatujui, Hatujui)
Bani Music
Ayooh Kenny!

[Verse 1 : Nandy]
Hivi mnajua hili beat amegonga nani? (Hatujui)
Na tulivyo record, umeme aliweka nani? (Hatujui)
Ngoma ime recordiwa studio ama nyumbani? (Hatujui)
Aahh wanangu vipi, chupa mnadhani ata shoot nani? (Hatujui)
Siku zote, kiti moto inayo uzika mwezi mtukufu
Kwanini wateja wanapungua? (Hatujui)
Na nina hela star, hivi mganga wangu mnamjua? (Hatujui)
Kwanini pisi kali mimba za mastaa hawatoi?
Kwanini ukikopwa ukweni huwezi kudai? (Hatujui)
Kwanini wamasai chupi hawavai?
Na nani amesema Nenga hanioi? (Hatujui)

[Pre-Chorus : Nandy & Dulla Makabilla]
Wanangu mnajua nyie, mnajua nyie? (Hatujui)
Nyie mnajua, kwanini msinisanue? (Hatujui)
Mnajua nyie, mnajua nyie? (Hatujui)
Nyie mnajua, kwanini msinisanue? (Hatujui)
Wanangu mnajua nyie, mnajua nyie? (Hatujui)
Nyie mnajua, kwanini msinisanue? (Hatujui)
Mnajua nyie, mnajua nyie? (Hatujui)
Nyie mnajua, kwanini msinisanue? (Hatujui)
[Verse 2 : Dulla Makabilla]
Yani leo nataka kujua
Nanii aliyoanzisha kudanga?
Mnaokwenda kwa mpalange nataka kujua
Hivi ana nyumba ama kapanga?
Yani siamini ninayo sikia
Hivi kweli vibonge wana vibamia?
Mimi hapa Mabantu na Marioo
Mnajua kwanini tunajichubua? (Hatujui)

[Chorus : Dulla Makabilla]
Wanangu mnajua nyie, mnajua nyie? (Hatujui)
Nyie mnajua, kwanini msinisanuе? (Hatujui)
Mnajua nyie, mnajua nyie? (Hatujui)
Nyie mnajua, kwanini msinisanuе? (Hatujui)

[Verse 3 : Dulla Makabilla & Nandy]
We, yule dada anavyosaula, we mpaka anaboa
Ila anachonikosha, akipata mimba anatoa
We, kwanza mimba zote chini ya jua zimekusudiwa
Usiseme bahati mbaya wakati mwenyewe ulivua
Kidogo mama yake Yesu anaweza akasamehewa
Lakini we chura, uligongwa ukapewa bia
Shika kiuno, shika na tena shika kiuno!
Wanangu, hili dude noma!
Shika kiuno, shika na tena shika kiuno!
Mwanangu, we dada unabinua binu binu!
Binu tena dada!
Unabinua binu binu!
Binu tena mama!
We unabinua binu binu!
Binu tena dada!
Unabinua binu binu! (Binu!)
We mwanangu shifte, michezo yako acha!
di*ksound eeh, michezo yako acha!
Faridi mtu peace eeh, michezo yako acha!
We Stani Bakora, michezo yako acha!
We kumbe amenyimwa ndogo ndo maana amesusa!
We twende shaku shaku!
We mabawa!
We mzuka ukipanda, ukicheza vyovyote sawa!
Wanangu shaku shaku, weeh mabawa!
We mzuka ukipanda, ukicheza vyovyote sawa!
Ata mangu mangu sawa, yote sawa!
Hata ukitetema sawa, yote sawa!
Hata ukisaula sawa, yote sawa!
Ata ukijibeba sawa, yote sawa!
Aatia tia tia tia!
[Outro : Dulla Makabilla]
We producer Kenny, piga guitar mwanangu!
Moja mbili tatu, wekaa!
Eehh!
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Copyright © 2012 - 2021 BeeLyrics.Net