Kisiwa Cha Malovedavi Lyrics & translation lyrics
by Zanton
Kwakweli nilikuwa napenda sana
Mechi za nje za ujana
Aliyekuwa mke wangu
Analia, ah-ah
Kwakweli nilikuwa napenda sana vibinti
Nakuwahonga mpaka magari
Waliyekuwa watoto wangu
Wanateseka na njaa
Mitungi ni kila saa
Nyumbani sina time ya kukaa
Marafiki nami
Night club na mimi oh
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
Hata baby haunitaki tena
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
Hata baby haunitaki tena
Nakupenda, ah-ya
Nakupenda sana, baby
Nakuihitaji mama-mama
Njoo kisiwa cha malovedavi
Nilikutenda, ah-ya
Nisamehe my baby
Nakuihitaji mama-mama
Njoo kisiwa cha malovedavi
Silewi tena niskize ma-ah
Kwani najua pombe ndo chanzo ah
Kilichofanya nikutende
Dharau kibao ndani ya nyumba hakuna raha
Na kwangu ulikuwa dhaifu niskize ma-ah
Kwani najua kweli ulinipenda ah
Watoto wangu nliwatenga nisamehe mpenzi, we unasema
Sitaki rudia tena
Najuta kwa yote nliyofanya
Nisamehe na goti napiga, nalia ah-ah-ah
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
Hata baby haunitaki tena
Sasa nimebaki lonely
Track redioni hazichezwi
Yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
Hata baby haunitaki tena
Nakupenda, ah-ya
Nakupenda sana, baby
Nakuihitaji mama-mama
Njoo kisiwa cha malovedavi
Nilikutenda, ah-ya
Nisamehe my baby
Nakuihitaji mama-mama
Njoo kisiwa cha malovedavi
Uje kwenye kisiwa cha malovedavi
Uje tupeane mapenzi
Usisahau na wanangu
Sahau yaliyopita
Na tugange yajayo
TRANSLATION TO ENGLISH
Honestly, I used to love so much
Matches abroad in my youth
She who was my wife
Is crying, ah-ah
Honestly, I used to love young ladies
And I spoiled them with cars
My children
Suffered from hunger
Drinking every hour
At home, I had no time to stay
Friends and I
In the nightclub with me, oh
Now I’m left lonely
My tracks aren’t played on the radio
No money, no friends
Even my baby doesn’t want me anymore
Now I’m left lonely
My tracks aren’t played on the radio
No money, no friends
Even my baby doesn’t want me anymore
I love you, ah-ya
I love you so much, baby
I need you, mama-mama
Come to the island of love
I wronged you, ah-ya
Forgive me, my baby
I need you, mama-mama
Come to the island of love
I don’t drink anymore, listen to me
Because I know alcohol was the cause, ah
Of what made me wrong you
So much disrespect in the house, there was no joy
And to me, you were weak, listen to me
Because I know you truly loved me, ah
I neglected my children, forgive me, my love, you’re saying
I won’t repeat it again
I regret everything I did
Forgive me, on my knees, I cry, ah-ah-ah
Now I’m left lonely
My tracks aren’t played on the radio
No money, no friends
Even my baby doesn’t want me anymore
Now I’m left lonely
My tracks aren’t played on the radio
No money, no friends
Even my baby doesn’t want me anymore
I love you, ah-ya
I love you so much, baby
I need you, mama-mama
Come to the island of love
I wronged you, ah-ya
Forgive me, my baby
I need you, mama-mama
Come to the island of love
Come to the island of love
Come, let’s share love
Don’t forget my children
Forget the past
And let’s focus on the future