Sina Remix lyrics

by

Yammi



[Intro : RJ the DJ]
Rj the DJ all day baby

[Verse 1 : Brother Nassir]
Nipende kama hurem Sulemani
Usiende kwa mwingine ukatamani
Sinitende ukaja nidhurumu honey
Tamu tende unilishe ayuni
Oh niliwaze moyo wangu uwe baridi
Nidekeze wala nyuma usirudi
Huba langu sinifanyie kusudi
Uwe wangu waumie mahasidi
Huba liwe mfano kote ulimwenguni
Na wadhahabu wino waandike vitabuni
Ruhy nipende mno, mengine kwangu wanini
Nasema baby kwengine mimi nikafwate nini

[Chorus : Yammi]
Aaaa aaaa aaaaa
Mwingine sina
Aaaaaaaaaaa
Mwingine sina
Aaaaaa aaaaaa
Sina mwingine

[Verse 2 : Yammi]
Nimetuliazana baby, mimi ni wako daima
Kwako nishafika honey, acha pupa papara
Unidekeze tuchеze cheze
Umеniteka
Wangu honey hayuni, mapenzi yako jamani
Wanipumbaze akili, mwingine simtamani
Tupendane kwa yakini, niwe wako wangu mimi
Tushakula na yamini, mi nawe mpaka peponi
[Chorus : Yammi]
Aaaa aaaa aaaaa
Mwingine sina
Aaaaaaaaaaa
Mwingine sina
Aaaaaa aaaaaa
Sina mwingine

[Outro : RJ the DJ]
Ladies and gentlemen
They call me RJ, the DJ
And I thank you so much for listening
Awote
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Copyright © 2012 - 2021 BeeLyrics.Net