Ramadan lyrics
by Yammi
[Intro]
Aaaah
Mmmmmh
Aaaah
Mmmmmh
[Chorus]
Ramadhan Ramadhan
Tufungeni Ramadhani
Ramadhan Ramadhan
Tiba njema Ramadhani
Ramadhan Ramadhan
Tufungeni Ramadhani
Ramadhan Ramadhan
Tiba njema Ramadhani
[Verse 1]
Ramadhani mwezi mema
Nguzo ya nne ya dini
Walifunga waja wema
Walopita duniani
Ramadhani mwezi mema
Nguzo ya nne ya dini
Walifunga waja wema
Walopita duniani
Eeeeeh Ramadhani
Ramadhani ni faradhi
Imefaradhishwa toka zamani
Wafunge wenye kukidhi
Vigezo vyote vya dini
[Bridge]
Ramadhani ni faradhi
Imefaradhishwa toka zamani
Wafunge wenye kukidhi
Vigezo vyote vya dini
Ramadhani ni faradhi
Imefaradhishwa toka zamani
Wafunge wenye kukidhi
Vigezo vyote vya dini
[Chorus]
Ramadhan Ramadhan
Tufungeni Ramadhani
Ramadhan Ramadhan
Tiba njema Ramadhani
Ramadhan Ramadhan
Tufungeni Ramadhani
Ramadhan Ramadhan
Tiba njema Ramadhani
Aaaah
Mmmmmh
Aaaah
Mmmmmh
[Verse 2]
Mayatima na wajane tuwakumbukeni
Mikono tushikamane
Tusaidieni
Mayatima na wajane tuwakumbukeni
Mikono tushikamane
Tusaidieni
Salamu za heri ulimwenguni nazitoa
Tuamuabu Jalali ridhiki atatupatia
Salamu za heri ulimwenguni nazitoa
Tuamuabudu Jalali ridhiki atatupatia
[Bridge]
Ramadhani ni faradhi
Imefaradhishwa toka zamani
Wafunge wenye kukidhi
Vigezo vyote vya dini
Ramadhani ni faradhi
Imefaradhishwa toka zamani
Wafunge wenye kukidhi
Vigezo vyote vya dini
[Chorus]
Ramadhan Ramadhan
Tufungeni Ramadhani
Ramadhan Ramadhan
Tiba njema Ramadhani
Ramadhan Ramadhan
Tufungeni Ramadhani
Ramadhan Ramadhan
Tiba njema Ramadhani