Sasa Hivi (Stripped Down) lyrics
by V-Be (KE)
[Intro: Ashley & Tuku Kantu]
Oh-oh
Oh-oh
Oh-oh-oh
[Verse 1: Tuku Kantu]
Soon n'takusave na love emoji n’toe official name
P.D.A bila uoga juu licence ni pete
I'll buy some boxers you can share with me
Uache kuvisit uishi nami
Kifunguu n'kutolee copy usizubae kwa gate
Vitunguu tutoane ngozi uchi ujionyeshe
Si valentines nikueke Archives pale kwa TV?
Laz’ma uolewe and it must be me
[Pre-Chorus; Tuku Kantu]
Kesho yetu usifananishe na jana
Lami na reli hazitoshani upana
Uchumi mbaya but I'll spend my todays with you
Leo ikona guarantee
[Chorus: Tuku Kantu, Tuku Kantu & Ashley]
N'takuita wangu kabla uitwe na Maulana
You're my rose but I'll still give you your flowers
N'takupenda saa hii na ka si saa hii
Ni sasa hivi
N'takuita wangu kabla uitwe na Maulana
You'rе my rose but I’ll still give you your flowers
N’takupеnda saa hii na ka si saa hii
Ni sasa hivi
Sasa hivi
Sasa hivi, sasa hivi
N'takupenda saa hii
[Verse 2: Ashley]
Ukipigana na Dunia, I’ll be fighting by your side
I'll carry your name, my love is strong enough
Niamini with your weaknesses, open up
I'm on your team not against you
I'll cook your favorite meal, ukule ulambe sahani
Yakimwagika n’tapanguza usijali
Laz'ma n'kuzalie watu wenu wanijue
Hio naeza guarantee
[Pre-Chorus: Ashley, Tuku Kantu & Ashley]
Kesho yetu usifananishe na jana
Lami na reli hazitoshani upana
Uchumi mbaya but I'll spend my todays with you
Leo ikona guarantee
[Chorus: Ashley, Tuku Kantu, Tuku Kantu & Ashley]
N'takuita wangu kabla uitwe na Maulana
You're my rose but I'll still give you your flowers
Nitakupenda saa hii na ka si saa hii
Ni sasa hivi
N'takuita wangu kabla uitwe na Maulana
You're my rose but I'll still give you your flowers
Nitakupenda saa hii na ka si saa hii
Ni sasa hivi
Hivi
Ntakupenda sasa hivi
I'll give you your flowers
[Verse 3: Mshairi Spikes, Tuku Kantu, Ashley]
Sipendi your favorite artist but nakupenda n'ta compromise
Klabu date ya smocha hu mind vile burger sifiki price (Mm)
Kuona movie kwa lapi ni intimate hatuwezi shikana kwa theatre (Yeah)
Nikwandalie candle lit dinner tokens kidogo vile meter inateta (Oh)
Kuna tisho flani nimebuy baggy si tuone vile itakuvaa (Oh)
Ati games gani? Hapa labda kadi I'll never play with your heart (Oh)
Twende house hunting tupange nyumba bila intentions za kuikaa
Naeza kopa gari twende nayo Nanyuki but hio ni trip ya njaa (Yeah)
Ugumu wa mkate huishia kwa chai si twende kibanda
Yetu ni simu iko kwa moto charge inaenda ikipanda
Buroti maguta, maguta you are my fertile kiwanja
Ukipotea n'takutafuta I'm one half you are the other