Muhibu lyrics
by Abigail Chams
[Intro]
Oh, it’s Abigail Chams again
[Verse 1]
Ka niko ndotoni
Unavyo nilevya
Upendo unanimaliza
Na uko moyoni unanitosheleza, baby
Na mwendo, nimaumaliza
Kwako baby
[Pre-Chorus]
Mimi ooh
Pressure inashuka, inapanda
Milio inainuka, inapanda
Mwenzio ooh
Nimekua chawa mdananda
Kila unapokwenda, nakuganda
[Chorus]
Utaniua kwa mapenzi haya
Utanikill kwa mapenzi haya ooh
Muhibu, muhibu, nimekuchagua
Tabibu, tabibu, ooh wewe tu wewe
Muhibu, muhibu, nimekuchagua
Wewe, tu wewe
Tabibu, tabibu, ooh mmh uh mmh
[Verse 2]
Mi siwezi
Maana naona nimeshindwa
Ndio mana nimekuachia wewe mmh
Kwenye penzi
We ndio mshindi, kwangu bingwa
Kikombe nakupatia wewe
[Bridge]
Siguni, sikohoi
Utachoniambia, sichomoi
Hapa nilipo, hoi
Sijiwezi, goi goi
[Pre-Chorus]
Mimi ooh
Pressure inashuka, inapanda
Milio inainuka, inapanda
Mwenzio ooh
Nimekua chawa mdananda
Kila unapokwenda, nakuganda
[Chorus]
Utaniua kwa mapenzi haya
Utanikill kwa mapenzi haya ooh
Muhibu, muhibu, nimekuchagua
Tabibu, tabibu, ooh wewe tu wewe
Muhibu, muhibu, nimekuchagua
Wewe, tu wewe
Tabibu, tabibu, ooh mmh uh mmh
[Outro]
Tamba baby, tamba baby