Zoba lyrics
by Abigail Chams
[Verse 1 : Platform]
Au kisa nampenda, ndio maana haishiwi kuniliza
Ni ukweli sijiwezi, ndio maana haishiwi kuniumiza
Siwezi kumuacha maana nampenda na ananitesa, eeh
Kugombana siwezi, ugonjwa mapenzi, naogopa jela, eeh
[Chorus : Platform]
Eh, mapenzi ni homa, yashanichoma
Ila bado nipo (eh)
Kupenda sitakoma, acha niwe zoba
Ila bado nipo
[Verse 1 : Abigail Chams]
Siambiliki wala sishauriki
Mapenzi na mimi, ata nzi hujiri, yeah
Siambiliki wala sishauriki
Mapenzi na mimi, ata nzi hujiri
Yeah-ooh, yeah, yangu roho
Ameshika mimi, amenithamini
Yeah-ooh, roho, yangu roho
Ameshika mimi, amenithamini (woooh)
[Chorus : Platform]
Eh, mapenzi ni homa, yashanichoma
Ila bado nipo
Kupenda sitakoma, acha niwe zoba
Ila bado nipo
[Outro]
Ooh-ooh-ooh
Niwe zoba
Boom
And the good work has been done by Kapipo
Isikukite hadi