Missa lyrics
by Neil Diamond
Kristo
Kristo
Kristo
Nitakutana nayeye
Nitakutana nayeye
Ahh
Atakutana nami
Kristo
Kristo
Kristo
Sina budi kwenda sasa (Sasa)
Sina budi kwenda sasa
Mmm-mmm-hmm
Lazima nisichelewe
Mtoto amezaliwa
Mtoto amezaliwa
Mtoto amezaliwa
Kristo
Kristo
Kristo, gloria