Intro lyrics

by

Jux.


Yanaanza na shauku
Kinachofuata ni furaha isiyo na kifani
Baada ya kujuana, yanakuja mazoea;
Mazoea yakizidi
Yanasababisha kutoelewana
Na pengine huleta ugomvi
Na mara nyingi ugomvi huweza kusababisha uadu!
Mapenzi! This is LOVE ALBUM
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Copyright © 2012 - 2021 BeeLyrics.Net