Go lyrics
by Darassa
[Verse 1 : Darassa]
Go, go, go, go, go, go, go
Unahitaji yes, purity, big positivity
Life watamiliki
Kwenye riziki, lazima kuna vizingiti
Unafki, uchawi, alafu negativity
Go, go, go, go, go, go, go, go
You gotta go but you never know
Bibilia inasema you reap what you sow
Huku streets knock on them doors
Kamata wazima, wazima chunda mpaka ngozi
Jambishia pistol, kujibu na mashini gun
Dem wako atatoa mlio haijawai kutumia chumbani
Ngoja nikwachie hii, kaa mna kichwani
Kwenye fan naezakuwa jirani ila sio mpinzani
[Verse 2 : G Nako]
Kaa juu, kaa juu ubebeshwe mzigo
Au kaa chini, kaa chini uwe uzigo
Si unacheki hayo mapigo
Makasi ya kisiginoni Luis Figo
Tukae nyuma ata mashaki na ma-
-kambi hainutu upendo ukismama
Wengi wenu mnaanguka kwenye kusimama
Tipo kwenye uwanja wa vita unaita (Mamaya)
Gangire unga chafu mmoja (Wewe)
Hatuishi kiuogauoga
Shortcut ya mvivi ni kurogaroga
Hatuwezikufa siku moja moja (Wewe)
[Chorus]
Go, go, go, go, go
Aah, eeh
Go, go, go, go, go
Aah, eeh
[Verse 2 : Billnass]
Go, go, get money
Usipopambana atakupambania nani
No, no, life's not funny
Matusi yao yanakuwanga kwenye matani
Rhumba lukte chuku
Nigawane na wana usisahau kuja na suti
Maana jinsi tunalibana ruhusa kumkimbiza
Ila siwezi kusimama kama ugomvi si wa pesa
Bass siwezi kupigana
I feel the blast kama (Bachelor)
Na hii ndio cash kama (Banchela)
Wakiuliza how unapendua meza (Mtupe baa)
Na niko firm ka dadake
And go get it go tena
Tunukie fedha
Chafu tatu, chafu moja
Hatuishingi kiuogauoga
[Bridge: Billnass]
Jeshi lenyewe la mtu mmoja
Watu wa Mungu hatujui kuroga
[Bridge : G Nako]
Nimezaliwa kushinda
Ni wewe ndo unapambana na mimi
Koti chini, macho juu
Baba ndio ukatisha tayari
Nimezaliwa kushinda
Ni wewe ndo unapambana na mimi
Koti chini, macho juu
Baba ndio ukatisha tayari
[Chorus]
Go, go, go, go
Aah, eeh
Go, go, go, go
Aah, eeh